Psalms 55:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi namlilia Mungu, naye Mwenyezi-Mungu ataniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini ninamwita Mungu, naye Mwenyezi Mungu huniokoa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitamwita Mungu, Na Bwana ataniokoa;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi namlilia Mungu, naye Mwenyezi-Mungu ataniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini ninamwita Mungu, naye BWANA huniokoa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini ninamwita Mungu, naye bwana huniokoa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi namlilia Mungu, naye Mwenyezi-Mungu ataniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kifo na kiwakamate, washuke kuzimuni wakingali wa hai! Kwani katika makao yao na katika mioyo yao yamo mabaya tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitamwita Mungu, Na BWANA ataniokoa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Acha kifo kiwashitukie waadui zangu, washuke chini katika kuzimu wangali wazima; maana uovu umejaa katika mioyo yao.