Psalms 55:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu atawalaye tangu milele, atanisikia na kuwaaibisha maadui zangu, maana hawapendi kujirekebisha, wala hawamwogopi Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu atasikia na kuwajibu; Ndiye Yeye akaaye tangu milele. Mageuzi ya mambo hayawapati hao, Kwa hiyo hawamchi Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu atawalaye tangu milele, atanisikia na kuwaaibisha maadui zangu, maana hawapendi kujirekebisha, wala hawamwogopi Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao na wala hawana hofu ya Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu anayemiliki milele, atawasikia na kuwaadhibu, watu ambao hawabadilishi njia zao, wala hawana hofu ya Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu atawalaye tangu milele atanisikia; Na kuwaadhibu, maana hawajirekebishi, Wala kumcha Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu atawalaye tangu milele, atanisikia na kuwaaibisha maadui zangu, maana hawapendi kujirekebisha, wala hawamwogopi Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ataikomboa roho yangu, nikae na kutengemana, wao wasinifikie, ijapo wawe wengi wanaonijia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu atasikia na kuwajibu; Ndiye Yeye akaaye tangu milele. Mageuzi ya mambo hayawapati hao, Kwa hiyo hawamchi Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atanikomboa katika vita na kunipa amani, kwa maana waadui zangu ni wengi.