Psalms 55:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unisikilize na kunijibu; nimechoshwa na lalamiko langu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Unisikilize na kunijibu, Nimetanga-tanga nikilalama na kuugua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unisikilize na kunijibu; nimechoshwa na lalamiko langu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nisikie na unijibu. Mawazo yangu yananisumbua na nimehangaishwa
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Unisikilize na kunijibu, Nimetangatanga nikilalama na kuugua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unisikilize na kunijibu; nimechoshwa na lalamiko langu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sikiliza Mungu, kuomba kwangu! Usijifiche, nikikulalamikia!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Unisikilize na kunijibu, Nimetanga-tanga nikilalama na kuugua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, tega sikio usikie maombi yangu; usiangalie pembeni ninapokuomba.