Psalms 55:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenzangu amewashambulia rafiki yake, amevunja mapatano yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenzangu hushambulia rafiki zake, naye huvunja agano lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amenyosha mkono awadhuru waliopatana naye, Amelihalifu agano lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenzangu amewashambulia rafiki yake, amevunja mapatano yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwenzangu hushambulia rafiki zake, naye huvunja agano lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwenzangu hushambulia rafiki zake, naye huvunja agano lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenzangu amenyosha mkono awadhuru waliopatana naye, Amelivunja agano lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenzangu amewashambulia rafiki yake, amevunja mapatano yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu husikia, naye atawajibu. Yeye ndiye akaaye tangu kale. Wao hawataki kugeuka, kwa kuwa hawamwogopi aliye Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amenyosha mkono awadhuru waliopatana naye, Amelihalifu agano lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu anayetawala tangu milele, atanisikia na kuwafezehesha waadui yangu, maana hawapendi kubadilika, wala hawamwogopi Mungu.