Psalms 55:24 — Compare Translations
2 translations compared side by side
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawe Mungu, uwatelemshe, waje shimoni mwenye kuoza! Wale wenye manza za damu na madanganyo siku zao hawatazifikisha kati, lakini mimi ninakuegemea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe, ee Mungu, utawaporomosha katika shimo chini kabisa. Wauaji na wadanganyifu hawatafikia nusu ya maisha yao. Lakini mimi nitakutumainia wewe, ee Mungu!