Psalms 55:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Moyo wangu umejaa hofu, vitisho vya kifo vimenisonga.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Moyo wangu umejaa uchungu, hofu za mauti zimenishambulia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Moyo wangu umejaa hofu, vitisho vya kifo vimenisonga.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Moyo wangu umejaa uchungu, hofu ya kifo imenishambulia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Moyo wangu umejaa hofu, vitisho vya kifo vimenisonga.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa sababu adui wananizomea, nao wasiomcha Mungu wananisonga, kwani wanataka, mateso yaniangukie, kwa ukali tu wananipingia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Moyo wangu unaumia ndani yangu, Na hofu za mauti zimeniangukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nina hofu kwa ajili ya vitisho vya waadui zangu, na kwa kuteswa na watu waovu. Watu waovu wananitaabisha, kwa hasira wananishambulia.