Psalms 55:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Natetemeka kwa hofu kubwa, nimevamiwa na vitisho vikubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Woga na kutetemeka vimenizunguka, hofu kuu imenigharikisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imenifunikiza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Natetemeka kwa hofu kubwa, nimevamiwa na vitisho vikubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Woga na kutetemeka vimenizunguka, hofu kuu imenigharikisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Woga na kutetemeka vimenizunguka, hofu kuu imenigharikisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imeniingia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Natetemeka kwa hofu kubwa, nimevamiwa na vitisho vikubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Moyo wangu humu ndani yangu unatetemeka, mastuko kama ya kufa yakaniguia;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hofu na tetemeko limenijia, Na hofu kubwa imenifunikiza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wangu umejaa hofu, vitisho vya kifo vimenisonga.