Psalms 55:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Laiti ningekuwa na mabawa kama njiwa! Ningeruka mbali na kupata pumziko;
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nilisema, “Laiti ningekuwa na mabawa ya njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Laiti ningekuwa na mabawa kama njiwa! Ningeruka mbali na kupata pumziko;
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa! Ningeruka niende mbali kupumzika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningeruka mbali na kustarehe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Laiti ningekuwa na mabawa kama njiwa! Ningeruka mbali na kupata pumziko;
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
masukosuko ya mwili yananijia kwa kuogopa tu, nikapigwa sana na bumbuazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nikasema, Ningekuwa na mbawa kama njiwa, Ningerukia mbali na kustarehe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninatetemeka kwa hofu kubwa, nimeshikwa na vitisho vikubwa.