Psalms 55:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ningeharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ningaliharakisha kwenda mahali pa salama, mbali na tufani kali na dhoruba.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ningekimbilia mahali pa usalama, mbali na upepo mkali na dhoruba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mara wangeniona, nikienda mbali, nikae nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ningefanya haraka kuzikimbia Dhoruba na tufani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ningesafiri mbali sana, ningepata makao katika jangwa,