Psalms 55:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, uwaangamize na kuvuruga lugha yao; maana naona ukatili na ugomvi mjini,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, uwaangamize, uzichafue ndimi zao, Maana nimeona dhuluma na fitina katika mji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, uwaangamize na kuvuruga lugha yao; maana naona ukatili na ugomvi mjini,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uwatahayarishe waovu na uwafanye maadui wasielewane semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uwatahayarishe waovu na uwachanganyishie semi zao, maana nimeona jeuri na ugomvi mjini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, uwaangamize, uzivuruge ndimi zao, Maana nimeona dhuluma na fitina katika mji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, uwaangamize na kuvuruga lugha yao; maana naona ukatili na ugomvi mjini,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ningepiga mbio kulifikia kimbilio langu, niondoke kwenye upepo uvumao na nguvu kama za kimbunga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, uwaangamize, uzichafue ndimi zao, Maana nimeona dhuluma na fitina katika mji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ningekimbilia pahali penye usalama, mbali na upepo mukali na zoruba.”