Psalms 56:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Njiwa Mkimya wa Mbali”. Utenzi wa Daudi baada ya kukamatwa na Wafilisti kule Gathi) Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui wananidhulumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui wananidhulumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Njiwa Mkimya Wa Mbali. Utenzi Wa Daudi Baada Ya Kukamatwa Na Wafilisti Huko Gathi) Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu unihurumie, maana watu wananifuatia vikali; mchana kutwa wanazidisha mashambulizi yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Mchana kutwa maadui wananidhulumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa wako watu wanaonifokea, nihurumie Mungu! Siku zote wananigombeza na kunitesa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu, unirehemu, maana yuko atakaye kunimeza, Mchana kutwa ananionea akileta vita.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa njiwa anayekaa mbali kwenye ukimya. Mashairi ya Daudi nyuma ya kukamatwa na Wafilistini kule Gati.