Psalms 56:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namtumaini Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mwenyezi-Mungu na kusifu neno lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mwenyezi Mungu, ambaye neno lake ninalisifu,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa Bwana nitalisifu neno lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namtumaini Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mwenyezi-Mungu na kusifu neno lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika BWANA, ambaye neno lake ninalisifu,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika bwana, ambaye neno lake ninalisifu,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa BWANA nitalisifu neno lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namtumaini Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mwenyezi-Mungu na kusifu neno lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa naye Mungu na nilitukuze Neno lake, kwa kuwa naye Bwana na nilitukuze Neno lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Kwa msaada wa BWANA nitalisifu neno lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila mara ninapokuomba musaada wako, waadui zangu wanarudishwa nyuma. Ninajua kweli Mungu yuko upande wangu.