Psalms 56:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana umeniokoa katika kifo, naam, umenilinda nisianguke chini; nipate kuishi mbele yako, ee Mungu, katika mwanga wa uhai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti na miguu yangu kwenye kujikwaa, ili niweze kuenenda mbele za Mungu katika nuru ya uzima.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili nienende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana umeniokoa katika kifo, naam, umenilinda nisianguke chini; nipate kuishi mbele yako, ee Mungu, katika mwanga wa uhai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti na miguu yangu kwenye kujikwaa, ili kwamba niweze kuenenda mbele za Mungu katika nuru ya uzima.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa umeniokoa toka kwenye mauti na miguu yangu kwenye kujikwaa, ili niweze kuenenda mbele za Mungu katika nuru ya uzima.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili niende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana umeniokoa katika kifo, naam, umenilinda nisianguke chini; nipate kuishi mbele yako, ee Mungu, katika mwanga wa uhai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani umeiopoa roho yangu katika kufa; kweli, hata miguu yangu unaiangalia, isijikwae, ipate kuendelea machoni pa Mungu penye mwanga wao wenye uzima.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana umeniponya nafsi yangu na mauti; Je! Hukuizuia miguu yangu isianguke? Ili nienende mbele za Mungu Katika nuru ya walio hai.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, nitatimiza ahadi zangu kwako; nitakutolea sadaka za shukrani,