Psalms 56:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa maadui zangu wananishambulia; ni wengi mno hao wanaonipiga vita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa maadui zangu wananishambulia; ni wengi mno hao wanaonipiga vita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasingiziaji wangu wananifuatia mchana kutwa, wengi wananishambulia kwa kiburi chao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana ni wengi wanaonipiga vita.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa maadui zangu wananishambulia; ni wengi mno hao wanaonipiga vita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao wanaonisonga wananifokea siku zote, kwani ni wengi wanaonigombeza kwa majivuno tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui zangu wanataka kunimeza mchana kutwa, Maana waletao vita juu yangu kwa kiburi ni wengi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, unionee huruma, maana watu wananishambulia. Muchana kutwa waadui wananitesa.