Psalms 56:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakati ninaogopa, nitakutumaini wewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakati ninapoogopa, nitakutumaini wewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu Mkuu, hofu inaponishika, mimi nakutumainia wewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku, ninaposhikwa na woga, ninakuegemea wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku ya hofu yangu nitakutumaini Wewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa waadui zangu wananishambulia; ni wengi sana hao wanaonipiga vita.