Psalms 56:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini, sitaogopa. Mwanadamu mwenye kufa atanitenda nini?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu, katika Mungu ninatumaini; sitaogopa. Mwanadamu apatikanaye na kufa, atanitenda nini?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namtumainia Mungu na kusifu neno lake; namtumainia Mungu, wala siogopi. Binadamu dhaifu atanifanya nini?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa naye Mungu na nilitukuze Neno lake, kwa kumwegemea Mungu sitaogopa kamwe; wenye miili ya kimtu wanifanyieje?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa msaada wa MUNGU nitalisifu neno lake. Nimemtumaini Mungu, sitaogopa; Mwenye mwili atanitenda nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu Mukubwa, wakati ninapoogopa, mimi ninakutumainia wewe.