Psalms 56:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga njama za kunidhuru.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mchana kutwa wanayageuza maneno yangu, siku zote wanapanga shauri la kunidhuru.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mchana kutwa wanapotosha kisa changu; mawazo yao yote ni ya kunidhuru.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku zote huyabishia maneno yangu, waniumize, kwa mawazo yao yote hunitafutia mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mchana kutwa wanapotosha maneno yangu, Mawazo yao yote ni juu yangu kunitakia mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamutumainia Mungu na kusifu neno lake; ninamutumainia Mungu, wala siogopi. Mwanadamu zaifu atanifanya nini?