Psalms 56:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa wameniotea nafsi yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanapatana kunifanyia ubaya na kujificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wananifanyia hila, wanajificha, wanatazama hatua zangu, wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa waliniotea ili waniue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanakutana kupanga na kunivizia; wanachunguza yote nifanyayo; wananiotea kwa shabaha ya kuniua.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao hujikusanya, waniotee na kupanyatia, nyayo zangu zilipo, kwa sababu wanangojea kuipata roho yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hukutanika, hujificha, huziangalia nyayo zangu, Kwa kuwa wameniotea nafsi yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Muchana kutwa wanatunga maneno juu yangu; mawazo yao yote ni ya kunizuru.