Psalms 56:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, uwalipe kwa kadiri ya uovu wao, uwaangushe hao waovu kwa hasira yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wasiepuke kwa vyovyote, Ee Mungu, katika hasira yako yaangushe mataifa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Je! Wataokoka kwa uovu wao? Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, uwalipe kwa kadiri ya uovu wao, uwaangushe hao waovu kwa hasira yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa vyo vyote wasiepuke, Ee Mungu katika hasira yako yaangushe mataifa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wasiepuke kwa vyovyote, Ee Mungu, katika hasira yako yaangushe mataifa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Je! Wataokoka kwa uovu wao? Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, uwalipe kwa kadiri ya uovu wao, uwaangushe hao waovu kwa hasira yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa ajili ya mapotovu yao hawataona wokovu, watu walio hivyo uwachafukie, Mungu, na kuwakumba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Je! Wataokoka kwa uovu wao? Ee Mungu, uwaangamize kwa hasira yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanakutana kwa kufanya mipango na kunivizia; wanachunguza yote ninayofanya; wanafikiri kwa shabaha ya kunizuru.