Psalms 56:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe wakujua kusukwasukwa kwangu; waweka kumbukumbu ya machozi yangu yote. Je, yote si yamo kitabuni mwako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Andika maombolezo yangu; andika machozi yangu katika kitabu chako: je, haya hayapo katika kumbukumbu zako?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umehesabu kutanga-tanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?)
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe wakujua kusukwasukwa kwangu; waweka kumbukumbu ya machozi yangu yote. Je, yote si yamo kitabuni mwako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Andika maombolezo yangu, orodhesha machozi yangu katika gombo lako: je, haya hayapo katika kumbukumbu zako?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Andika maombolezo yangu, orodhesha machozi yangu katika gombo lako: je, haya hayapo katika kumbukumbu zako?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umehesabu kutangatanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?)
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe wakujua kusukwasukwa kwangu; waweka kumbukumbu ya machozi yangu yote. Je, yote si yamo kitabuni mwako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku za kutangatanga kwangu umezihesabu wewe, machozi yangu nayo yakusanye kwako katika kichupa! Najua, yamo katika kitabu chako, umeyaandika.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umehesabu kutanga-tanga kwangu; Uyatie machozi yangu katika chupa yako; (Je! Hayamo katika kitabu chako?)
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uwalipe kwa kadiri ya uovu wao, uwaangushe hao waovu kwa hasira yako.