Psalms 56:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila mara ninapokuomba msaada wako, maadui zangu wanarudishwa nyuma. Najua kweli Mungu yuko upande wangu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma ninapoita msaada. Kwa hili nitajua kwamba Mungu yuko upande wangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila mara ninapokuomba msaada wako, maadui zangu wanarudishwa nyuma. Najua kweli Mungu yuko upande wangu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo adui zangu hugeuzwa nyuma ninapoita msaada. Kwa hili nitajua kwamba Mungu yuko upande wangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo adui zangu watarudi nyuma ninapoita msaada. Kwa hili nitajua kwamba Mungu yuko upande wangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila mara ninapokuomba msaada wako, maadui zangu wanarudishwa nyuma. Najua kweli Mungu yuko upande wangu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo, watakaporudi nyuma adui zangu, itakuwa siku ile, nitakapokuitia; maana hili ninalijua, ya kuwa Mungu yuko upande wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo adui zangu watarudi nyuma siku ile niitapo. Neno hili najua kuwa MUNGU yu upande wangu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unajua kutangatanga kwangu; unaweka machozi yangu ndani ya chupa. Yote yanakuwa katika kitabu chako.