Psalms 57:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Fadhili zako zaenea hata juu ya mbingu, uaminifu wako wafika hata mawinguni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni, uaminifu wako unazifikia anga.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Fadhili zako zaenea hata juu ya mbingu, uaminifu wako wafika hata mawinguni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana upendo wako, waenea hadi mbinguni, uaminifu wako unazifikia anga.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana upendo wako ni mkuu, waenea hadi mbinguni, uaminifu wako unazifikia anga.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Fadhili zako zaenea hata juu ya mbingu, uaminifu wako wafika hata mawinguni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani upole wako ni mkubwa, unafika mpaka mbinguni, nako mawinguni unafika welekevu wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana fadhili zako ni kubwa hata mbinguni, Na uaminifu wako hata mawinguni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.