Psalms 57:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Namlilia Mungu Mkuu, Mungu anikamilishiaye nia yake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Namlilia Mungu Aliye Juu Sana, Mungu anayetimiza makusudi yake kwangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamwita MUNGU Aliye juu, Mungu anitimiziaye mambo yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Namlilia Mungu Mkuu, Mungu anikamilishiaye nia yake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Namlilia Mungu Aliye Juu Sana, Mungu atimizaye makusudi yake kwangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Namlilia Mungu Aliye Juu Sana, Mungu atimizaye makusudi yake kwangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamwita MUNGU Aliye Juu, Mungu anitimiziaye mambo yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Namlilia Mungu Mkuu, Mungu anikamilishiaye nia yake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninamwita Mungu alioko huko juu, ni yeye Mungu atakayenimalizia mashauri yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamwita MUNGU Aliye juu, Mungu anitimiziaye mambo yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unihurumie, ee Mungu, unihurumie, maana ninakukimbilia wewe. Ninakimbilia kwenye kivuli cha mabawa yako, mpaka zoruba ya maangamizi ipite.