Psalms 57:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hutumana msaada kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atapeleka toka mbinguni na kuniokoa, Atukanapo yule atakaye kunimeza. Mungu atazipeleka Fadhili zake na kweli yake
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hutuma kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hutumana kutoka mbinguni na kuniokoa, akiwakemea wale wanaonifuatilia vikali; Mungu huutuma upendo wake na uaminifu wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atanitumia msaada toka mbinguni na kuniokoa, Atawaaibisha wale wanaotaka kunishambulia. Mungu atazituma Fadhili zake na kweli yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atanipelekea msaada toka mbinguni na kuniokoa; atawaaibisha hao wanaonishambulia. Mungu atanionesha fadhili zake na uaminifu wake!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Atamtuma toka mbinguni atakayeniokoa, naye anifokeaye atamtia soni. Mungu hutuma upole wake nao welekevu wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atapeleka toka mbinguni na kuniokoa, Atukanapo yule atakaye kunimeza. Mungu atazipeleka Fadhili zake na kweli yake
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninamulilia Mungu Mukubwa, Mungu anayenikamilishia nia yake.