Psalms 57:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mimi nimezungukwa na maadui, wenye uchu wa damu kama simba; meno yao ni kama mikuki na mishale, ndimi zao ni kama panga kali.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Niko katikati ya simba; nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kali, watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, ambao ndimi zao ni panga kali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nafsi yangu i kati ya simba, Nitastarehe kati yao waliowaka moto. Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale, Na ndimi zao ni upanga mkali.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mimi nimezungukwa na maadui, wenye uchu wa damu kama simba; meno yao ni kama mikuki na mishale, ndimi zao ni kama panga kali.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Niko katikati ya simba, nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu, watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, ambao ndimi zao ni panga kali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Niko katikati ya simba, nimelala katikati ya wanyama wenye njaa kuu: watu ambao meno yao ni mikuki na mishale, ambao ndimi zao ni panga kali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nafsi yangu i kati ya simba, Nitastarehe kati yao waliowaka moto. Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale, Na ndimi zao ni upanga mkali.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mimi nimezungukwa na maadui, wenye uchu wa damu kama simba; meno yao ni kama mikuki na mishale, ndimi zao ni kama panga kali.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapa, roho yangu ilipotua, ni penye simba, nao wanipuliziao pumzi za moto ni wana wa watu, mikuki na mishale ni meno yao, nazo ndimi zao ndio panga zenye ukali.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nafsi yangu i kati ya simba, Nitastarehe kati yao waliowaka moto. Wanadamu meno yao ni mikuki na mishale, Na ndimi zao ni upanga mkali.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atanipelekea musaada toka mbinguni na kuniokoa, atawafezehesha hao wanaonishambulia. Mungu atanionyesha wema na uaminifu wake!