Psalms 57:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utukuzwe, ee Mungu, juu ya mbingu! Utukufu wako uenee duniani kote!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utukuzwe, ee Mungu, juu ya mbingu! Utukufu wako uenee duniani kote!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, utukuzwe, juu mbinguni, utukufu wako na uenee duniani kote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, utukufu wako na uenee duniani kote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utukuzwe, ee Mungu, juu ya mbingu! Utukufu wako uenee duniani kote!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utukuke, Mungu, juu mbinguni, nazo nchi zote ziuone utukufu wako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, utukuzwe juu ya mbingu, Na juu ya nchi yote uwe utukufu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mimi nimezungukwa na waadui, wenye uchu wa damu kama simba; meno yao ni kama mikuki na mishale, ndimi zao ni kama panga kali.