Psalms 57:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui wamenitegea wavu waninase, nami nasononeka kwa huzuni. Wamenichimbia shimo njiani mwangu, lakini wao wenyewe wametumbukia humo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waliitegea miguu yangu nyavu, nikachoshwa na dhiki. Wamechimba shimo katika njia yangu, lakini wametumbukia humo wao wenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wameweka wavu ili kuninasa miguu; Nafsi yangu imeinama; Wamechimba shimo mbele yangu; Wametumbukia ndani yake!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui wamenitegea wavu waninase, nami nasononeka kwa huzuni. Wamenichimbia shimo njiani mwangu, lakini wao wenyewe wametumbukia humo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waliitegea miguu yangu nyavu, nikainamishwa chini na dhiki. Wamechimba shimo katika njia yangu, lakini wametumbukia humo wao wenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waliitegea miguu yangu nyavu, nikainamishwa chini na dhiki. Wamechimba shimo katika njia yangu, lakini wametumbukia humo wao wenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wameweka wavu ili kuninasa miguu; Nimevunjika moyo; Wamechimba shimo njiani mwangu; Lakini wao wenyewe wametumbukia humo!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui wamenitegea wavu waninase, nami nasononeka kwa huzuni. Wamenichimbia shimo njiani mwangu, lakini wao wenyewe wametumbukia humo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Miguu yangu waliitegea matanzi, nayo roho yangu wanaiinamiza. Walinichimbia mwina mimi, wakatumbukia humo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wameweka wavu ili kuninasa miguu; Nafsi yangu imeinama; Wamechimba shimo mbele yangu; Wametumbukia ndani yake!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utukuzwe, ee Mungu, juu katika mbingu! Utukufu wako uenee katika dunia yote!