Psalms 57:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa nyimbo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Moyo wangu u thabiti. Nitaimba, nitaimba zaburi,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, moyo wangu uko imara, naam moyo wangu uko imara, nitaimba na kupiga vinanda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti; nitaimba na kusifu kwa moyo wangu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, moyo wangu ni thabiti, Moyo wangu ni thabiti. Nitaimba, nitaimba kwa sauti nzuri,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Niko thabiti moyoni, ee Mungu, naam, niko thabiti moyoni; nitaimba na kukushangilia!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
E Mungu, moyo wangu umetulia na kushupaa, moyo wangu umetulia kweli na kushupaa; kwa hiyo na niimbe na kupiga shangwe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, moyo wangu u thabiti, Moyo wangu u thabiti. Nitaimba, nitaimba zaburi,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui wamenitegea wavu waninase, nami ninaugua kwa huzuni. Wamenichimbia shimo katika njia yangu, lakini wao wenyewe wametumbukia humo.