Psalms 57:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Amka, nafsi yangu! Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Amka, utukufu wangu. Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Amka, nafsi yangu! Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Amka, nafsi yangu! Amka, kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Amka, ee moyo wangu. Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Amka, ee nafsi yangu! Amkeni, enyi kinubi na zeze! Nitayaamsha mapambazuko!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Amka, roho yangu yenye matukuzo! Amkeni, pango na zeze, niiamshe mionzi ya jua!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Amka, utukufu wangu. Amka, kinanda na kinubi, Nitaamka alfajiri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Moyo wangu ni tayari, ee Mungu, moyo wangu ni tayari; nitaimba na kukushangilia!