Psalms 57:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitakusifu wewe, Ee Bwana, kati ya mataifa; nitaimba habari zako, kati ya jamaa za watu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitakusifu wewe, Ee BWANA, katikati ya mataifa, nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitakusifu wewe, Ee bwana, katikati ya mataifa; nitaimba habari zako, katikati ya jamaa za watu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya mataifa; nitakuimbia sifa kati ya mataifa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwenye makundi ya watu wako nitakushukuru, Bwana, nako kwenye wamizimu nitakuimbia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Bwana, nitakushukuru kati ya watu, Nitakuimbia zaburi kati ya mataifa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Amuka, ee nafsi yangu! Muamuke, enyi kinubi na zeze! Nitayaamusha mapambazuko!