Psalms 58:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi) Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Usiharibu! Utenzi Wa Daudi) Enyi watawala, Je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Enyi watawala, je, kweli mwanena kwa haki? Je, mnahukumu kwa unyofu miongoni mwa watu?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Enyi watawala, je, mwahukumu kwa haki kweli? Je, mnawahukumu watu kwa adili?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni vya kweli hivyo, mnavyohukumu, ninyi wakuu? nayo maamuzi yenu yananyoka, ninyi wana wa watu?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni kweli, enyi wakuu, mnanena haki? Enyi wanadamu, mnahukumu kwa adili?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo “Usiharibu.” Mashairi ya Daudi.