Psalms 58:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waadilifu watafurahi waonapo waovu wanaadhibiwa; watatembea katika damu ya watu wabaya.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wenye haki watafurahi wakilipizwa kisasi, watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwenye haki atafurahi akionapo kisasi; Ataiosha miguu yake katika damu ya wasio haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waadilifu watafurahi waonapo waovu wanaadhibiwa; watatembea katika damu ya watu wabaya.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, wakati wakichovya nyayo zao katika damu ya waovu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wenye haki watafurahi waonapo wakilipizwa kisasi, watakapochovya nyayo zao katika damu ya waovu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwenye haki atafurahi akionapo kisasi; Ataiosha miguu yake katika damu ya wasio haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waadilifu watafurahi waonapo waovu wanaadhibiwa; watatembea katika damu ya watu wabaya.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwongofu atafurahi akiyaona malipizi hayo, ataiogesha miguu yake katika damu yake asiyemcha Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwenye haki atafurahi akionapo kisasi; Ataiosha miguu yake katika damu ya wasio haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele hawajatambua, waongolewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakikuwa bado wazima.