Psalms 58:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wote watasema: “Naam, waadilifu hupata tuzo! Hakika yuko Mungu anayeihukumu dunia!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo wanadamu watasema, “Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu, hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mwanadamu atasema, Hakika iko thawabu yake mwenye haki. Hakika yuko Mungu Anayehukumu katika dunia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wote watasema: “Naam, waadilifu hupata tuzo! Hakika yuko Mungu anayeihukumu dunia!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo wanadamu watasema, “Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu, hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo wanadamu watasema, “Hakika utulivu wa wenye haki bado una thawabu, hakika kuna Mungu ahukumuye dunia.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mwanadamu atasema, Hakika iko thawabu yake mwenye haki. Hakika yuko Mungu Anayehukumu katika dunia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wote watasema: “Naam, waadilifu hupata tuzo! Hakika yuko Mungu anayeihukumu dunia!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu watakaposema: kumbe mwongofu hupata! Kumbe yuko Mungu ahukumuye katika nchi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mwanadamu atasema, Hakika iko thawabu yake mwenye haki. Hakika yuko Mungu Anayehukumu katika dunia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa haki watafurahi wanapoona waovu wanaazibiwa; watatembea katika damu ya watu wabaya.