Psalms 58:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu; nyinyi wenyewe mwaeneza dhuluma nchini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hueneza jeuri duniani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sivyo! Mioyoni mwenu mnatenda maovu; Katika nchi mnapima udhalimu wa mikono yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu; nyinyi wenyewe mwaeneza dhuluma nchini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hupima jeuri duniani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
La, mioyoni mwenu mnatunga udhalimu, na mikono yenu hupima jeuri duniani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sivyo! Mioyoni mwenu mnatenda maovu; Mikono yenu wenyewe inaeneza udhalimu katika nchi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
La! Nyinyi mwafikiria tu kutenda maovu; nyinyi wenyewe mwaeneza dhuluma nchini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sivyo! Kwani mioyoni mwenu yamo mapotovu; ndiyo mnayoyafanya, nayo makorofi ya mikono yenu mnayaendesha katika nchi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sivyo! Mioyoni mwenu mnatenda maovu; Katika nchi mnapima udhalimu wa mikono yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Enyi watawala, munasema kwa haki kweli? Munawahukumu watu kwa usawa?