Psalms 58:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wamepotoka tangu kuzaliwa kwao, waongo hao, wamekosa tangu walipozaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa kwao; Tangu tumboni wamepotea, wakisema uongo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wamepotoka tangu kuzaliwa kwao, waongo hao, wamekosa tangu walipozaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu ni wapotovu hata tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu ni wapotovu tangu kuzaliwa kwao, toka tumboni mwa mama zao ni wakaidi na husema uongo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waovu hupotoka hata kabla ya kuzaliwa kwao; Tangu tumboni wamepotea, wakisema uongo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wamepotoka tangu kuzaliwa kwao, waongo hao, wamekosa tangu walipozaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu hukataa kutii tangu kuzaliwa kwao, wasemao uwongo hupotea hivyo, walivyozaliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wasio haki wamejitenga tangu kuzaliwa kwao; Tangu tumboni wamepotea, wakisema uongo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapana. Ninyi munafikiria tu kutenda maovu; ninyi wenyewe munaeneza mateso makali katika inchi.