Psalms 58:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wana sumu kama sumu ya nyoka; viziwi kama joka lizibalo masikio,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sumu yao, mfano wake ni sumu ya nyoka; Mfano wao ni fira kiziwi azibaye sikio lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wana sumu kama sumu ya nyoka; viziwi kama joka lizibalo masikio,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya nyoka mwenye sumu kali ambaye ameziba masikio yake,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sumu yao ni kama sumu ya nyoka, kama ile ya fira ambaye ameziba masikio yake,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana sumu mfano wa sumu ya nyoka; Wao ni kama fira kiziwi azibaye sikio lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wana sumu kama sumu ya nyoka; viziwi kama joka lizibalo masikio,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sumu inayofanana na sumu ya nyoka wao wanayo, wafanana na pili asiyesikia kwa kuyaziba masikio,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sumu yao, mfano wake ni sumu ya nyoka; Mfano wao ni fira kiziwi azibaye sikio lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wamepotoka tangu kuzaliwa kwao, hao waongo wamekosa tangu walipozaliwa.