Psalms 58:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambalo halisikii hata sauti ya mlozi, au utenzi wa mganga stadi wa uchawi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asiyeisikiliza sauti ya waganga, Ijapo wanafanya uganga kwa ustadi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambalo halisikii hata sauti ya mlozi, au utenzi wa mganga stadi wa uchawi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angeagua kwa ustadi kiasi gani.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ambaye hatasikia sauti ya kutumbuiza ya mwaguzi, hata kama mganga angecheza kwa ustadi kiasi gani.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asiyeisikiliza sauti ya waganga, Ijapo wanafanya uganga kwa ustadi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambalo halisikii hata sauti ya mlozi, au utenzi wa mganga stadi wa uchawi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ni yule asiyesikiliza sauti ya mganga, ijapo ajue sana kufinga nyoka kwa huo uganga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asiyeisikiliza sauti ya waganga, Ijapo wanafanya uganga kwa ustadi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wana sumu kama sumu ya nyoka. Wao ni viziwi kama piri anayeziba masikio,