Psalms 58:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mungu, wavunje meno yao, yangoe, ee Mwenyezi-Mungu, meno ya simba hao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee Mwenyezi Mungu, vunja meno makali ya hao simba!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee Bwana, uyavunje magego ya wana-simba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu, wavunje meno yao, yang'oe, ee Mwenyezi-Mungu, meno ya simba hao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee BWANA, vunja meno makali ya hao simba!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, yavunje meno katika vinywa vyao; Ee bwana, vunja meno makali ya hao simba!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee BWANA, uyavunje magego ya wanasimba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu, wavunje meno yao, yangoe, ee Mwenyezi-Mungu, meno ya simba hao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu yavunje meno yao vinywani mwao! Nayo magego ya wana wa simba yang'oe, Bwana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu, uyavunje meno yao vinywani mwao; Ee BWANA, uyavunje magego ya wana-simba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ambaye hasikii hata sauti ya mulozi, au ya muganga anayekuwa fundi wa uchawi.