Psalms 58:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watoweke kama maji yanayodidimia mchangani, kama nyasi wakanyagwe na kunyauka,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na watoweke kama maji yanavyotiririka; wanapovuta pinde zao, mishale yao na iwe butu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi; Akiielekeza mishale yake, iwe imetiwa ubutu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watoweke kama maji yanayodidimia mchangani, kama nyasi wakanyagwe na kunyauka,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wana na watoweke kama maji yatiririkayo kwa kasi, wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi, wavutapo pinde zao, mishale yao na iwe butu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi; Akiielekeza mishale yake, iwe imetiwa ubutu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watoweke kama maji yanayodidimia mchangani, kama nyasi wakanyagwe na kunyauka,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti wakauke kama maji yanayojiendea tu, mishale yao sharti iwe, kama haina chembe, watakapoielekeza!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na watoweke kama maji yapitayo kwa kasi; Akiielekeza mishale yake, iwe imetiwa ubutu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu, uvunje meno yao, uongoe, ee Yawe, meno ya simba wakali hao.