Psalms 58:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Na wawe kama konokono anayeyeyuka akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama konokono ayeyukavyo akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu, na wasilione jua.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama konokono ayeyukavyo akitembea, kama mtoto aliyezaliwa akiwa mfu, wasilione jua.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
watoweke kama konokono ayeyukavyo, kama mimba iliyoharibika isiyoona kamwe jua!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wawe kama kovya linalokwenda na kuyeyuka, au kama mimba ya mwanamke iharibikayo pasipo kuona jua.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama konokono ayeyukaye na kutoweka, Kama mimba iliyoharibika, isiyoliona jua,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watoweke kama maji yanavyopotelea ndani ya muchanga, kama majani wakanyagwe na kunyauka,