Psalms 58:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla hawajatambua, wangolewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla hawajatambua, wang'olewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla vyungu vyenu havijapata moto wa kuni za miiba, zikiwa mbichi au kavu, waovu watakuwa wamefagiliwa mbali.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla hawajatambua, wangolewe kama miiba, michongoma au magugu. Kwa hasira ya Mungu, wapeperushwe mbali, wakiwa bado hai.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nayo miiba yenu ikiwa haijakomaa penye miti yao, ataipeperusha kwa ukali wa moto, ijapo iwe mibichi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla ya masufuria yenu kupata moto wa miiba, Ataipeperusha kama chamchela, Iliyo mibichi na iliyo moto.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
watoweke kama konokono anavyoyeyuka akitembea, kama mimba iliyoharibika isiyoona jua hata kidogo!