Psalms 59:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo “Usiharibu”. Utenzi wa Daudi wakati Shauli alipotuma wapelelezi wamuue) Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Usiharibu. Utenzi Wa Daudi Wakati Sauli Alipotuma Wapelelezi Wamwue) Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee Mungu, uniokoe na adui zangu, unilinde kutokana na hao wanaoinuka dhidi yangu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mungu wangu, uniokoe na maadui zangu; unikinge na hao wanaonishambulia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niopoe, Mungu wangu, mikononi mwao walio adui zangu, ukinikingia walioniinukia, wasinifikie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee Mungu wangu, uniponye na adui zangu, Uniinue juu yao wanaoshindana nami.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kiebrania: Kwa mukubwa wa waimbaji: kwa mutindo wa wimbo “Usiharibu”. Mashairi ya Daudi wakati Saulo alipotuma wapelelezi wamwue.