Psalms 59:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu wangu unayenipenda. Mungu atanitangulia, naye atanifanya niwachekelee wale wanaonisingizia.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kuwatazama adui zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu wangu unipendaye. Mungu atanitangulia, naye atanifanya niwatazame kwa furaha wale wanaonisingizia.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu wangu unipendaye. Mungu atanitangulia, naye atanifanya niwachekelee wale wanaonisingizia.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kutazama kwa ushindi juu ya adui zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu wangu utanijia na fadhili zako, utaniwezesha kuwaona maadui zangu wameshindwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mungu wangu aliye mwenye upole hunijia mbele, yeye Mungu hunipa kuwashangilia wao walionisonga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu wa fadhili zangu atanitangulia, Mungu atanijalia kuwatazama adui zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakungojea, ewe unayekuwa nguvu yangu; maana wewe, ee Mungu, ni kimbilio langu.