Psalms 59:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwaue mara moja, watu wangu wasije wakasahau; ila uwayumbishe kwa nguvu yako, uwaporomoshe chini. Ee Bwana, wewe ndiwe ngao yetu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini usiwaue, Ee Bwana, ngao yetu, au sivyo watu wangu watasahau. Katika uwezo wako wafanye watangetange na uwashushe chini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Usiwaue, watu wangu wasije wakasahau; Uwatawanye kwa uweza wako, Na kuwaangamiza, Ee Bwana, ngao yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwaue mara moja, watu wangu wasije wakasahau; ila uwayumbishe kwa nguvu yako, uwaporomoshe chini. Ee Bwana, wewe ndiwe ngao yetu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, ngao yetu, usiwaue, au sivyo watu wangu watasahau. Katika uwezo wako wafanye watangetange na uwashushe chini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini usiwaue, Ee bwana, ngao yetu, au sivyo watu wangu watasahau. Katika uwezo wako wafanye watangetange na uwashushe chini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Usiwaue, watu wangu wasije wakasahau; Uwatawanye kwa uweza wako, Na kuwaangamiza, Ee Bwana, ngao yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwaue mara moja, watu wangu wasije wakasahau; ila uwayumbishe kwa nguvu yako, uwaporomoshe chini. Ee Bwana, wewe ndiwe ngao yetu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kusudi walio ukoo wangu wasivisahau, usiwaue kabisa! Wapoteze tu kwa nguvu yako, waje kutangatanga! Kisha uwakumbe, waje kuzimuni! Wewe Bwana, u ngao yangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Usiwaue, watu wangu wasije wakasahau; Uwatawanye kwa uweza wako, Na kuwaangamiza, Ee Bwana, ngao yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu wangu mwema sana atakuwa mbele yangu, ataniwezesha kuwaona waadui zangu wameshindwa.