Psalms 59:12 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wao hutenda dhambi kwa yote wasemayo, kwa hiyo na wanaswe katika kiburi chao! Kwa sababu ya laana na uongo wao,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa ajili ya dhambi za vinywa vyao, kwa ajili ya maneno ya midomo yao, waache wanaswe katika kiburi chao. Kwa ajili ya laana na uongo wanaotamka,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wao hutenda dhambi kwa yote wasemayo, kwa hiyo na wanaswe katika kiburi chao! Kwa sababu ya laana na uongo wao,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa ajili ya dhambi za vinywa vyao, kwa ajili ya maneno ya midomo yao, waache wanaswe katika kiburi chao. Kwa ajili ya laana na uongo wanaotamka,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa ajili ya dhambi za vinywa vyao, kwa ajili ya maneno ya midomo yao, waache wanaswe katika kiburi chao. Kwa ajili ya laana na uongo wanaotamka,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wao hutenda dhambi kwa yote wasemayo, kwa hiyo na wanaswe katika kiburi chao! Kwa sababu ya laana na uongo wao,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Vinywa vyao hukosa, midomo yao inaposema, sharti wanaswe na majivuno yao wakizidi kuapiza na kuogopa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa dhambi ya kinywa chao, Na kwa neno la midomo yao, Wanaswe kwa kiburi chao, Kwa ajili ya kulaani na uongo wasemao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Usiwaue mara moja, watu wangu wasisahau; uwasambazesambaze kwa nguvu yako, uwaporomoshe chini. Ee Bwana, wewe ndiwe ngao yetu!