Psalms 59:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakati wa jioni hurudi, hulia kama mbwa, Na kuzunguka-zunguka mjini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzunguka zunguka mji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hurudi jioni, wakibweka kama mbwa, wakiuzurura mji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakati wa jioni hurudi, wakilia kama mbwa, Na kuzungukazunguka mjini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kila jioni maadui hao hurudi wakibweka kama mbwa, na kuzungukazunguka mjini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jioni hurudi na kulia, kama ni mbwa; ndivyo, wanavyozungukazunguka humu mjini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakati wa jioni hurudi, hulia kama mbwa, Na kuzunguka-zunguka mjini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
uwateketeze kwa hasira yako, uwateketeze watoweke kabisa, kusudi watu wote wajue mpaka kwa miisho ya dunia ya kuwa wewe Mungu unatawala wazao wa Yakobo.