Psalms 59:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hupitapita huko na huko wakitafuta mlo, na wasipotoshelezwa hunguruma.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanatangatanga wakitafuta chakula, wasipotosheka hubweka kama mbwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watatanga-tanga hao wakitafuta chakula; Wasiposhiba watakesha usiku kucha.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hupitapita huko na huko wakitafuta mlo, na wasipotoshelezwa hunguruma.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanatangatanga wakitafuta chakula wasipotosheka hubweka kama mbwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanatangatanga wakitafuta chakula, wasipotosheka hubweka kama mbwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wanatangatanga wakitafuta chakula; Na kunung'unika wasiposhiba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hupitapita huko na huko wakitafuta mlo, na wasipotoshelezwa hunguruma.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wao sharti waje kutangatanga na kutafuta chakula, kisha sharti walale pasipo kushiba!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watatanga-tanga hao wakitafuta chakula; Wasiposhiba watakesha usiku kucha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kila magaribi waadui hao wanarudi wakifoka kama imbwa, na kuzungukazunguka katika muji.