Psalms 59:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako; nitashangilia asubuhi juu ya fadhili zako; maana wewe umekuwa ngome yangu na kimbilio langu wakati wa taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba kuhusu upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi, Nitaziimba fadhili zako kwa furaha. Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu, Na makimbilio siku ya shida yangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako; nitashangilia asubuhi juu ya fadhili zako; maana wewe umekuwa ngome yangu na kimbilio langu wakati wa taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mimi nitaimba juu ya nguvu zako, wakati wa asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mimi nitaziimba nguvu zako, asubuhi nitaimba juu ya upendo wako; kwa maana wewe ndiwe ngome yangu na kimbilio langu wakati wa shida.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nami nitaimba juu ya nguvu zako, Nitaimba kwa furaha juu ya fadhili zako asubuhi. Maana umekuwa ngome yangu, na kimbilio wakati wa mateso yangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako; nitashangilia asubuhi juu ya fadhili zako; maana wewe umekuwa ngome yangu na kimbilio langu wakati wa taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mimi nitakapoziimbia nguvu zako, asubuhi nitaushangilia upole wako, kwani umekuwa ngome yangu na kimbilio langu hapo, niliposongeka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nami nitaziimba nguvu zako asubuhi, Nitaziimba fadhili zako kwa furaha. Kwa kuwa ndiwe uliyekuwa ngome yangu, Na makimbilio siku ya shida yangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanapitapita huko na huko wakitafuta chakula, nao wasiposhiba wananguruma.