Psalms 59:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unayenipenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee nguvu zangu, nitakuimbia kwa furaha, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu, Mungu wa fadhili zangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa, wewe, Ee Mungu ndiwe ngome yangu, Mungu unipendaye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee uliye Nguvu zangu, ninakuimbia sifa. Wewe, Ee Mungu, ndiwe ngome yangu, Mungu unipendaye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee nguvu zangu, nitakuimbia sifa, Maana Ewe Mungu ndiwe ngome yangu, Mungu wa fadhili zangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ewe uliye nguvu yangu, nitakuimbia sifa; ee Mungu, wewe u ngome yangu; Mungu mwenye kunifadhili!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wewe uliye nguvu zangu, nitakuimbia, kwani wewe, Mungu, u ngome yangu, u Mungu wangu mwenye upole.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee nguvu zangu, nitakuimbia kwa furaha, Maana Mungu ndiye aliye ngome yangu, Mungu wa fadhili zangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini mimi nitaimba sifa za nguvu yako, nitashangilia asubui juu ya wema wako, maana wewe umekuwa kikingio changu, wewe ni kimbilio langu wakati wa taabu.