Psalms 59:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uniponye na watu watendao maovu, uniokoe kutokana na wanaomwaga damu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uniponye na watu watendao mabaya, uniokoe kutokana na wamwagao damu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uniokoe na hao wanaotenda maovu; unisalimishe kutoka kwa hao wauaji!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Niopoe mikononi mwao wafanyao mapotovu! Niokoe mikononi mwao wauao wenzao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Uniponye nao wafanyao maovu, Uniokoe na watu wa damu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Mungu wangu, uniokoe kutoka waadui zangu, unikinge na hao wanaonishambulia.